Vizuri Alliance
Wednesday, 24 May 2017
Wednesday, 17 May 2017
AMAZING EGGS
Ni mayai mazuri ya kienyeji yenye faida nyigi mwilini ikiwemo:
a) Mayai yana viinilishe vingi.
Kwa kawaida yai moja lina wingi wa viinilishe kama vile vitamini, protein, madini n.k kama ifuatavyo
Selenium: 22%
Vitamin B2: 15%
Vitamin B12: 10%
Phosphorus: 9%
Vitamin B5: 7% Vitamin A: 5%
Vitamin D: 11%
Calcium: 2%
Madini ya Chuma 3%
- Mayai huondoa sumu na kusaidia kuongeza nuru ya macho
Monday, 27 March 2017
MIRACLE FOODS
Pata bidhaa ambazo zimetengenezwa kutokana na vyakula vya asilli, bidhaa ambazo zimeandaliwa katika ufanisi, ubora na viwango kwa ajili ya afya bora.
Tunauza Bidhaa zifuatazo
1. ASALI ZA AINA ZOTE
Tunauza Bidhaa zifuatazo
1. ASALI ZA AINA ZOTE
Subscribe to:
Posts (Atom)